mseseve
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 511
- 89
nyumba iko barabara ya kwenda mpigi magohe MBEZI MWISHO ipo karibu na shule ya yatima bethsaida
sifa za nyumba
kiwanja ukubwa 35x40
master bedroom 1
rooms za kawaida 3
private toilet 1
public toilet 1
jiko na store yake
ndani ni full tiles kama picha zinavyoonesha
bati ni msauzi (south africa) rangi ya blue
eneo lipo karibu kabisa na barabara ya mpango ya magari ambayo yatakuwa yakipitia barabara
hiyo kwenda mikoa ya kaskazini kupitia bagamoyo na panafaa pia kwa biashara yoyote ile
bei ni maelewano na mama muuzaji na hakuna dalali au mtu wa kati
sababu za kuuza
mama ana matatizo ya kiafya na anataka arudi kijijini
mama ni mwalimu mstaafu na baada ya kupata mafao yake akaamua kujenga nyumba hiyo
nyumba hiyo kwa ndani na muuzaji ni huyu mama hakuna dalali
barabara ya mtaa inayoelekea maeneo ya makazi ya yako well planned
piga simu ongea na mama mwenyewe uelewane nae
0718939273 ndugu aliyeachiwa
pia nyumba imechimbwa kisima cha maji kwa nje kama kinvyoonekana.