Nyumba mbili kwenye eneo moja zinauzwa

Nyumba mbili kwenye eneo moja zinauzwa

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Nyumba zipo Mbezi beach, Jangwani beach zimetizamana na Jangwani seabres apartment

Moja ni ya ghorofa na nyingine ni ya chini

Size plot 3500 sqm

Bei Tsh 285m

Maongezi zaidi 0756060183
IMG-20191104-WA0017.jpeg
IMG-20191104-WA0014.jpeg
IMG-20191104-WA0018.jpeg
IMG-20191104-WA0015.jpeg
IMG-20191104-WA0016.jpeg
 
Hebu Rudi kapige vizuri hizo picha. Kisha zilete hapa,. Tafuta mpiga picha. Usitumie simu ya techno tafadhali. Nahitaji kuona vizuri.
 
Northman, Mkuu tusameheane nyumba zilizopo kwenye eneo nyingi ni za kuvunja kwahyo kwa maeneo haya kitu kinachouza sehemu ni ukubwa wa kiwanja na sio nyumba hizo za zamani..karibu ujionee mwenyewe maana pengine maelezo yangu yasikutoshe au nichk kwenye hiyo simu hapo kwa maelezo zaidi..hili ni tangazo huwezi andika kila kitu, kuwa muelewa kidogo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom