Nyumba Makuburi External Inauzwa Mil100

Nyumba Makuburi External Inauzwa Mil100

Ni zile dessign ya fence iliyoungana na nyumba, one side fence(half), then imeungana na main house! So main house imebana upande mmoja then upande mwingine kuna entrance gate! Did I make myself clear?

Asante kwa taarifa njema. Ila kwa fence hizo sijazijua sana. Ndiyo maana natamani kupata picha zake. Jitahidi kesho pata digital camera au simu piga post hapa.
 
But ukuta umezunguka kote, though kwa mbele nyumba haiko fenced, just connected to the entrance gate

Hapa nimekupata kidogo kuwa ukuta umezunguka pembeni kote na kule nyuma ila kwa mbele entrance imeunganishwa na fence. Kwa utashi wangu ningependa angalao mbele nizibe kwa usalama zaidi!! Je haitawezekana mbele kufanya ka extension hiyo fence? Au jiwe la kiwanja limegonga kabisa kwenye nyumba kwa mbele?
 
Je naweza kukopa hiyo nyumba? Ntalipa laki mbili na nusu kila mwezi mpaka nitakapomaliza, ila nikipata pembeni ntakuwa napunguza kidogokidogo! kama pouwa nikutwangie!

Nina namba yangu kwa Signature mkuu, hata hivyo ni 0715/0754 858 245
 
Je naweza kukopa hiyo nyumba? Ntalipa laki mbili na nusu kila mwezi mpaka nitakapomaliza, ila nikipata pembeni ntakuwa napunguza kidogokidogo! kama pouwa nikutwangie!

Suala la wewe kukopa au kutokopesheka wanaweza kukujibu watu wa benk mkuu! Labda kama unauliza hii nyumba inakopesheka ama sio! Hii nyumba ina title na hivyo inakopesheka ila itategemea na valuation za benki zitatoa value ipi! Lakini pia benk haitakupa asilimia mia iakubisi uchangia asilimia 10, 15, 20 au 25 inategemea na benki
 
Hapa nafikiri alitaka akope hiyo nyumba awe anamlipa muuzaji 250,000 kwa mwezi ikimaanisha kwa mwaka ni kama 3m kwa hiyo itabidi alipe kwa miaka 33.33!!!!. Sidhani kama kuna biashara kama hii hasa kama wenye familia walishaamua kutopangisha mtu pale!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom