Nyumba kubwa inauzwa

Nyumba kubwa inauzwa

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
Nyumba kubwa ipo buguruni kalibu nasoko labuguruni inavyumba 8 vyanyumba kubwa na vyumba vyauwani 6 jumla ya vyumba 14 nauwanja kiasi kwajili ya parking bei mill 95 ina ofa yauhalali wa umiliki kiwanja nikikubwa unaweza vunja nakujenga nyumba unayo penda kama hutoipenda iliopo Simu 0712690760
 
Weka picha mkuu, vp nikigeuza iwe Guest inafaa na mtaa unajitangaza wenyewe?
 
Sana Tu kiongozi picha najalibu kuapload inashindikana
 
Mbona mkuu nimesema inazia 95mill
 
Nyumba kubwa ipo buguruni kalibu nasoko labuguruni inavyumba 8 vyanyumba kubwa na vyumba vyauwani 6 jumla ya vyumba 14 nauwanja kiasi kwajili ya parking bei mill 95 ina ofa yauhalali wa umiliki kiwanja nikikubwa unaweza vunja nakujenga nyumba unayo penda kama hutoipenda iliopo Simu 0712690760

Ipo mtaa gani buguruni? unaposema karibu na soko, huelewiki soko ni kubwa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom