Nyumba Kinondon B inauzwa ina Tittle-deed. Ni meter 200 kutoka kituo cha daladala Kinondoni B upande wa kulia kama unatoka magomeni na upande wa kushoto kama unatokea Morocco. Eneo la nyumba lina ukubwa wa Square meters 370. Bei ni Shilingi Mill. 230/= Mawasiliano 0714 404057, 0755033997