House4Sale Nyumba kaliii inauzwa Tsh98milion tu

Ina hati.. vyumba vitatu, kimoja master,, sebule kubwa, dining, jiko, public toilet, na uwanja mkubwa nje kama inavyoonekana..
Ipo karibu tu na barabara ya lami Kama dakika tano.
Bei 98milion
Umeipenda Piga simu njoo ikague.
Call 0689315582
Hichi kibanda kinafaa sana kufugia mifugo
 
Umbali unapimwa kwa vipimo vya urefu kama cm, km, inch, yard; halafu muda unapimwa kwa vipimo vya muda kama siku, mwezi, saa, dakika, sekunde. Sasa wewe hapo unatuambia nini?
Huyo ni dalali kaleta post msamehe tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom