mkuu hata nikiweka picha ya nyumba yanu hapa na nikakuambia bei niliyotumia utaona aibu mwenyewe nyumba kubwa na nzur kuliko hio na 150m haijafikaushakalili nyumba ya juu ndoo inaghalama kubwa
utabaki hivo hivo na maisha yako ya kukalili
Mil 250 unanunua uwanja na kujenga ghorofa hapo hapo segerea