Nyumba inauzwa maeneo ya Tabata Segerea karibu na kanisa la kkkt,ina vyumba vinne vya kulala na vyoo vta ndani pia,ina sebule pamoja na dining room,ina fensi ya ukuta wa kisasa,ina maji na umeme pia.kwa ulinzi na huduma zote za kijamii zinapatikana karibu,iko sehemu nzuri kwa wote wenye magari na wasiyokuwa nayo.
kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba hii....0753084807 au 0653591232
ASANTE
kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba hii....0753084807 au 0653591232
ASANTE