Nyumba inauzwa

Nyumba inaizwa mil.18 ipo ifakara morogoro.
tangazo lako halijitoshelezi,weka picha,ukubwa wa eneo lenye nyumba,na pia Ifakara kubwa ni sehemu gani pia,sio unakurupuka tu,umenawa hata uso lakini maana post ni ya saa 6:08.
 
Nyumba inaizwa mil.18 ipo ifakara morogoro.

ipo bethlehem,saga noti,air port,viwanja 60,kibaoni au wapi mkuu na umeme,maji,gari linafika imefanyiwa finishing ,itakuwa vizuri ukiweka na kapicha nisisahau kiwanja kimepimwa ,hati ipo
 
Ipo uwanja wa taifa...karibu na shule birgit. Gar inafka
 
Pia ina vyumba vtatu vy kulala, sebule 1 na dinning rum.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…