Nyumba inauzwa!!!

Nyumba inauzwa!!!

adataro

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
36
Reaction score
0
Nyumba nzuri sana inauzwa na ina sifa zifuatazo:

Muonekano: Ni nyumba ya ghorofa 5 yenye vyumba 42
Ina vifaa vyote muhimu vinavyohitajika.
Sehemu: Manzese
Bei: Billion 3 maelewano pia yapo
Unaweza kufanya mawasiliano kwa namba 0754479625
Shukrani.
 
Naomba nikurekebishe hili jukwaa sio la matangazo ya kuuza nyumba kuna mahali pake kaka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom