Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Opp zantel head office, 1.5mil usd

Una maana kwa TShs ni 2,400,000,000/=, yaani bilioni 1.5. Tanzania tambarare. Labda tungeiona nyumba hiyo kama ungeweka taswira zake hapa kama kweli mansion yenye kufikia kiwango hicho kabla hatujaanza kujipapasa mifukoni.

Mansion za mataifa tajiri zenye bei hiyo $ 1.5 Million
Tukilinganisha gharama za mauzo ya nyumba na nchi tajiri za mataifa ya ulaya na marekani, utaona gharama ya nyumba kwa bei aliyotoa mdau ina nafasi ambayo mnunuzi atajisikia yuko na nafasi ya private, open area, free big land, na vivutio vingine licha ya nyumba yenyewe kuwa ghali kwa pesa hiyo.

Tutashukuru kama ataweka picha ambayo inaonyesha kiwango cha nyumba anayoiuza kwa $ 1.5 million tuweze kufanya ulinganifu na taswira za hapa chini ambazo ni nyumba zilizo katika mauzo kwa gharama ya $ 1.5 million katika mataifa tajiri ya Ulaya, Marekani na Canada.

gal_house_1-300x199.jpg
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
W300px_Spellings-150-Million-Mansion-1.jpg
images
images
images
images
images
 
hahahahah Candid Scope, huwa napenda sana comments zako na facts unazotoaga, jitu linakurupuka tu eti nyumba 1.5 mn usd, picha blanks maelezo na hadhi ya nyumba hakuna!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom