Nyumba inauzwa.

Nyumba inauzwa.

Jichokuu

Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
48
Reaction score
1
Wanajamvi kuna nyumba ya vyumba 4, flemu 6 choo na bafu,ina wapangaji pia umeme full cealing board na imepakwa rangi inauzwa maeneo ya kibaha kwa mathias(msangani) juhudi,eneo hili la juhudi ni maarufu kwa biashara na ni kilometa 6 toka kwa mathias (barabara ya lami) morogoro road. bei ni 50mln ila wawezalipia kwa awamu. Kwa maulizo piga :
0719081205
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom