Nyumba inauzwa

C. Misonge

Member
Oct 3, 2007
60
10
Ipo maeneo ya Kijitonyama karibu na Chrisco Church, njia ya kwenda kwa Ally Maua,

Haijakamilika, imefikia kwenye linta, lengo lilikuwa ni kujenga ghorofa moja.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0655 699 699
 
Mzee sema bei yake inaanzia shilingi ngapi?nione kama naweza kukutafuta au nitulizane tu
 
weka bei na picha pia mukubwa!watu tusiharibu crdt zetu ku call kumbe umewalenga wenye hela ndefu.
 
Hakuna watu wajinga kama madalali wa nchi hii..ingekua serikali sio lege lege wangethibitiwa..mtu una kitu unauza unaandika Tangazo
 
Samahani waungwana kwa kuchelewa kujibu, nauza m350, kama unataka kwenda kuiona nipigie, mimi ndio mwenye nyumba wala msihofu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom