kitau kuna vitu vya msingi inabidi uviweke ili kushawishi watu kukupigia simu
-weka picha mbalimbali za nyumba
-weka price
-weka mtaa/mahala ilipo nyumba eg.mwanza-bwiru/nyegezi
vitu vingine si mpaka tukasomee,
nyumba inauzwa ipo mwanza -ilemela wilayani -barabara ya bujingwa
ina vyumba 3 kimoja ni master ,sebule ,dining ,jiko na store
pia pana nyumba yenye frem 2 vyumba vikubwa vina faa kuweka biashara
ya jumla narejareja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.