Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Bensoy

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
576
Reaction score
625
Ipo pugu kona
Ina mzunguko wa mita za mraba 25/20.
Ina vyumba vya kulala 5 ikiwemo master 1. Mabafu na vyoo 4 . Sitting room, Dinning, jiko na store.
Iko fully furnished nusu tiles na sakafu ya kawaida, gimpsum na ina eneo la ua mkubwa kiasi.

Imeunganishwa na maji ya dawasa na umeme wa kudumu.

Iko kando ya barabara kunwa ya lami iendayo kisarawe.
Inafaa kwa matumizi ya makazi na biashara.
Karibi ujionee
Wasiliana na mwenye nyumba

Bei mil 80 tu mazungumzo yapoView attachment 2300869View attachment 2300872
 
Ungeonesha basi na hiyo barabara kubwa ya lami inayo pakana na hiyo nyumba, ili kunogesha mapishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom