Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Manbad

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
1,185
Reaction score
990
Nyumba inauzwa ipo Kiluvya Kwakomba km moja toka Morogoro road. Ina vyimba vitatu kimoja masta, jiko, sitting room, dinning room, public toilets and bath rooms, umeme, maji, ya dawasco, car parking, nk. Kwa mawasiliano piga 0757615888/0717250250. Karibuni sana.
IMG_20190721_142137.jpeg
 
Ni nzuri kuna maji ya bomba kwa ndani kama bafuni na umeme upo kama haupo je laini iko jirani
 
Milioni 100 ni nyingi sana mkuu kwa kiluvya, punguza kdg tuongee biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom