Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Nyumba hii ipo kigamboni mji mwema, ni umbali wa 4.5 km toka magogoni na umbali wa 3.5km toka daraja la kigamboni. Na nusu km kufika baharini.

Kwa maelezo ya kuona na mengine tuwasiliane 06571455.


Ina sifa zifuatazo
vyumba 3 vya kulala kimoja master
jiko , store na babu pamoja na choo cha nje.
umeme maji vipo karibu
sehemu ya kuweka Tank la maji ipo .
ikifika kiurahisi.
tuwasiliane.
20171230_184325_resized.jpg
house 1.jpg
20171230_184217_resized.jpg
20171230_184249_resized.jpg
20171230_184249_resized.jpg
20171230_184325_resized.jpg
 
Hii ndio namba yako?mbona haija kamilika mkuu.
 
Kabla mtu hajakupigia,weka bei kwanza imshawishi mtu kupiga simu...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom