Asante kwa ushauri ila hiyo 150M ni reasonable kabisaNdugu ushauri wangu kwa hali ya nchi ilivyo na inavyozidi kuendelea kuwa mshauri muuzaji kwa hao wenye 100-120M akomae awape faster maana ikifika mwakani tu kwenye January hata huyo wa kumpa 100M anaweza kukosa
Mimi ni dalali ila silipwe na mnunuzi nalipwa na anayeuzaOk. Wewe ni dalali au ndiye mwenye mali?
Hapana mkuuVipi 120 mkuu inapatikana
Dah na mimi ntakua nazo tu...naamini hivyo!!
Sawa nimekuelewa.
Hahahahahahha eti wanaenda kuishi kama mashetaniMaofisa wa serikali waliokuwa wanaishi kama malaika wanauza mahekalu yao wanakwenda Dodoma kuishi kama mashetani
karibuni nyumba bado ipoNyumba inauzwa bunju A.Ina vyumba 4 umbali kutoka barabarani ni km moja na nusu.Bei ni 150M.Karibuni sana 0756224239
Kama iko vizuri ndani weka picha tuone. Picha za ndani. Baraza inaonekana kabisa finishing labda sakafu ya kawaida au bado rough. Pili tofali za aina hiyo kweli Nyumba 150m? Ukweli utasubiri sana mkuu. Pesa imekimbia na watu wanaishi kimachale sana kwa sasa hasa wale waliokuwa wanaishi kama wafalme.Nyumba iko vzr ndani,finishing ni kwenye fensi tu mkuu,na bei iko resoanable kwani viwanja bunju kwa sasa havishikiki.Tena kiwanja kikubwa sana na mazingira mazuri na pia kimepimwa.Ata mwenye kuuza anauzia shida tu
Nyumba bado ipo karibuni tufanye biashara.Nyumba inauzwa bunju A.Ina vyumba 4 umbali kutoka barabarani ni km moja na nusu.Bei ni 150M.Karibuni sana 0756224239
Nimekuandikia message pmMkuu kwa 120 naweza pata?
Nyumba bado ipo na BEI INAPUNGUA KUTOKANA NA MZUNGUKO WA HELA ULIVYOKUWA KWA SASANyumba inauzwa bunju A.Ina vyumba 4 umbali kutoka barabarani ni km moja na nusu.Bei ni 150M.Karibuni sana 0756224239