Manamba IV
Member
- Jul 24, 2013
- 22
- 1
ipo eneo zuri yombo vituka,gari inafikika,umeme upo karibu,maji yapo,ipo karibu na barabara ya mtaa,anayehitaji anipm au aweke namba yake nitampigia akishindwa anicheki kwa manambapunje@yahoo.com,bei milioni 25 kulingana na hali yake na ina eneo kubwa la hatua 40 kwa 14