Nyumba inauzwa vikindu

Nyumba inauzwa vikindu

prince dudu

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
109
Reaction score
77
Za asubuhi wana jf kuna nyumba inauzwa vikindu mkuranga pwani ina vyumba vitatu pamoja na vyuo vyao ndani katika kila chumba,kuna felemu za biashara tatu, Kuna maji, umeme na choo cha public nje yaani uwani, ndani sasa Kuna feni kila chumba hadi sebuleni, na malumalu pamoja na gypsum body nyumba ipo barabarani mtata wa sunami kwa mawasiliano 0784979520/0738591117
 
Weka picha acha uzwazwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom