kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,980
- 3,635
Habarini wakuu. Nyumba inauzwa ipo ukonga Mombasa njia ya kuelekea moshi bar kituo cha mazizini hatua chache kutoka barabarani, ina ukubwa wa vyumba vitatu vya kulala na kimoja master,jiko na sebule,imefunikwa juu Bado finishing ya ndani na nje haijamaliziwa.Madirisha na milango yake yapo Bado hayajapachikwa Bei yake ni. Millioni 45 mazungumzo yapo.
Picha zimesumbua hapa kuattach.Naweza kukutumia whatsapp au nikakupeleka uione.Ni PM
Picha zimesumbua hapa kuattach.Naweza kukutumia whatsapp au nikakupeleka uione.Ni PM