NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,665
Salaam,
Wanajukwaa;
Nyumba inapatikana ukonga, magereza (kichangani)
Taarifa kamili:
Nyumba ina vyumba vinne vya kulala na kimoja wapo ni Master bedroom.
Ina sebule, jiko, public toilet na store
Eneo la nyumba (kiwanja) sqm 420
Maji na umeme vyote vipi
Umbali kutoka njia kuu ya lami pugu road ni 600m
Ina leseni ya makazi (na urasimishaji ndio upo kwenye hatua za awali)
Bei: 50m (mazungumzo mezani)
More info: 0785 857564