Nyumba Inauzwa Ukonga-Kivule Njiapanda Shule 29,000,000/=tsh

kilanio

JF-Expert Member
May 30, 2015
221
69
Nyumba ina Hali Nzuri na Eneo kubwa, Pia ipo karibu na barabara Kuu.

Ina Sebule kubwa, dinning room,jiko,vyumba 2 vya kulala,choo na bafu..

Na pia ina Banda la nyuma lenye vyumba vitatu.Nyumba ina uzio(fensi).Nyumba ina hati ya serikal ya mtaa

Bei 29,000,000/=Tsh

Location:Kivule-Njiapanda ya shule-Dsm.Mawasiliano.0762493174

Gari inafika Hadi getin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kama MTU huna nia ya kununua au kufanya connection kuna umuhimu wa Ku comment?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…