I hope hakuna utapeli hapo... maana maeneo ya tegeta kwa changa la macho, ni balaaa!
Mmmmh, bidada upo?
kaka umesahau bongo nyumba ni bei kubwa kuliko hata kwa Obama,hizi bei wala hazilingani na hali halisi,hata kiwanja ambacho miaka 5 iliyopita kilikuwa kinauzwa milioni moja sasa ni milioni 50,soko la nyumba na viwanja bongo ni fake yaani haliendani na uhalisia wowote,na si ajabu majumba mengi hayana wapangajiSawa kaka tumeona ila hiyo million 250 si mchezo, naona kama bei na nyumba yenyewe havilingani. Anyway, mimi si mnunuzi nimechangia tu!!!!!
Tiba
Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa self contained. Ina jiko, sehemu ya kulia chakula na subure. Imekamilika. Mbele yake kuna msingi wa nyumba nyingine. Kiwanja kina hati miliki. Bei ya hii nyumba ni shilingi 250mil. Ukiwa unahitaji kuiona piga simu 0717114409 kuweka Appointment.
Sawa kaka tumeona ila hiyo million 250 si mchezo, naona kama bei na nyumba yenyewe havilingani. Anyway, mimi si mnunuzi nimechangia tu!!!!!
Tiba
kaka umesahau bongo nyumba ni bei kubwa kuliko hata kwa Obama,hizi bei wala hazilingani na hali halisi,hata kiwanja ambacho miaka 5 iliyopita kilikuwa kinauzwa milioni moja sasa ni milioni 50,soko la nyumba na viwanja bongo ni fake yaani haliendani na uhalisia wowote,na si ajabu majumba mengi hayana wapangaji
Fall in love with a location. Kinachofanya bei ya nyumba kuwa kubwa ni location siyo nyumba. Hizi nyumba zako mbili unazijengea wapi. Pia kuna wengine hawataki usumbufu wa mafundi wanataka ready made houses.