Ni nyumba nzuri ya familia.
Ina vyumba vinne (4) vya kulala.
Ina uzio/fensi ya miti aina ya miti.
maji yapo,
barabara hadi ndani na kuna parking ya gari moja.
eneo lina ukubwa wa medium size/ujazo wa kati.nyumba ipo km moja kutoka bagamoyo road.
BEI NI MILIONI 90.
kwa mawasiliano piga simu no.0658877349 /// 0764877349
Karibuni sana

Kwa umagamba wako utautwanga mbichi
Kwa umagamba wako utautwanga mbichi
Kwa mawazo hayo inaonekana hujajenga. Ivi ukijenga ndio huwezi nunua nyumba?naona umepost pasipo stahili,hili ni jukwaa la siasa na sio biashara,back to home then repost ur nyumba inauzwa kwenye biashara tuliopo humu tumeshajenga.,