Nyumba inauzwa Tabora, Kariakoo

Nyumba inauzwa Tabora, Kariakoo

Hum B

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
1,065
Reaction score
1,540
Nyumba hii ina vyumba 3 kimoja master, sitting room, dinning room,jiko na choo na bafu. Ipo tabora kariakoo.Nimeshindwa ku upload picha ila naweza kukutumia picha kwa whatsapp. kwa mawasiliano zaidi:
0658-130630
0754-618440
 
Weka hapa picha, mambo ya whatsapp ni vitu private.
 
NYUMBA HII INAPATIKANA TABORA KARIAKOO KARIBU NA MACHINJIONI, NYUMBA INA VYUMBA VITATU (3) KIMOJA NI MASTER, SITTING ROOM, DINING ROOM, JIKO, CHOO NA BAFU,.NIMESHINDWA KU -UPLOAD (KUPAKIA) ILA NAWEZA KUKUTUMIA WHATSAPP
KWA MAWASILIANO ZAIDI:
0658-130630
0754-618440
Contradiction :

Nyumba ipo mkoani TABORA mtaa wa kariakoo au DSM kariakoo mtaa wa TABORA?
 
NYUMBA HII INA VYUMBA VITATU (3) KIMOJA NI MASTER, SITTING ROOM, DINING ROOM, JIKO, CHOO NA BAFU VYA PUBLIC .IPO KARIAKOO KARIBU NA MACHINJIONI MKOANI TABORA, INA KISIMA KISICHO KAUKA MAJI HATA KIPINDI CHA KIANGAZI .SABABU ZA KUIUZA NAAMA MKOA, KILA KITU KIPO KISHERIA BEI NI SHILINGI MILIONI ISHIRINI (20mil)MAELEWANO YAPO, KARIBUNI SANA

kwa mawasiliano zaidi:

0754-618-440
0658-130-630
 
Nashindwa ku upload picha za hii nyumba mwenye kujua naomba msaada please
 
Nyumba bado ipo ila bado nashindwa ku - upload picha
 
Nyumba bado ipo ila bado nashindwa ku - upload picha
 
Nyumba bado ipo bei ni 20 mil (milioni ishirini) ila maelewano yapo kwa mtu aliye serious
 
Nauza dawa za mitishamba halisi dawa za kuponya tatizo la upungufu wa nguvu za kiume..dawa zimetokana na mimea kama ..mlonge mkedule na mlidino..dawa ni mitishamba asili...hazina kemikali..zinatibu uhanithi..kuwah kupiz..kukosa hamu ya tendo ..kushindwa kurudia tendo mara nyingi..wale wa mikoan mtatumiwa huko mliko..nitafute kupitia 0744069527
 
Acha uchawi wewe fungua uzi wako....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom