Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,059
- 10,519
Picha zimeandikwa 120M, wewe wasema 150..lol
Hahahah,we noma,kumbe umezichungulia kwenye contents zake ee,aisee,
lakini bei imepanda
Picha zimeandikwa 120M, wewe wasema 150..lol
nyumba inauzwa yenye vyumba vitatu kimoja ni self contained,setting room,dining,kitchen,store na public toilet
ukubwa wa kiwanja ni squire meta 800
mwenye kuhitaji ani PM au piga 0714358610
ni wachache kama wewe wanaoelewa bei za nyumba,kuna mtu mwingine akiambiwa nyumba kama hii milioni 150 anaanza maneno mengi na wakati hajawahi hata kutafuta nyumba na kufatilia bei za nyumbaDip aisee hii nyumba rahisi,maana kuna nyumba nilipita maeneo ya Tabara karibu na Harvad school inauzwa 90m,imeezekwa tu,hakuna bati wala hakuna mlango wala madirisha,full vumbi haina mtu zaidi ya mbuzi.Pia mitaa hiyo utaiona.
Maeneo ya Tabata hasa kuelekea segerea nyumba ni ghali sana.
Kazi yangu ile ya kutafuta kiwanja kiwanja umefikia wapi?Tabata Karibu ya Harvard