Nyumba inauzwa Tabata Segerea

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Ipo Tabata Segerea. Ina vyumba vinne vya kulala, sebure kubwa, jiko. uwanja wake mita za mraba 1200.Ni nyumba ya kisasa. Ina maji na umeme. miundo mbinu yake safi. bei shilingi 100 MILIONI.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia 0717114409 au 0755312233
 

Attachments

  • PIC00990.JPG
    PIC00990.JPG
    78.8 KB · Views: 179
  • PIC00987.JPG
    PIC00987.JPG
    70.4 KB · Views: 156
  • PIC00984.JPG
    PIC00984.JPG
    66 KB · Views: 157
  • PIC00989.JPG
    PIC00989.JPG
    83.7 KB · Views: 154
  • PIC00997.JPG
    PIC00997.JPG
    64.4 KB · Views: 146
Halafu weka kama ipo Fenced au vipi, Picha kama ile ya kwanza ingelipa mzee, finishing yake hujaonyesha ndani mkuu
 
Segerea karibu na kituo cha mafuta cha oil com. Upimaji umeshafanyika ipo katika hatua za mwisho za kupata hati miliki siyo leseni ya makaazi
 
Segerea karibu na kituo cha mafuta cha oil com. Upimaji umeshafanyika ipo katika hatua za mwisho za kupata hati miliki siyo leseni ya makaazi


Thanks.

Sasa hebu tuwekee picha ziwe kubwa tuone Mkuu. If convincing, nitakutafuta nije kuiona.
 
Mkuu
Dunia imepiga hatua kubwa sana katika maendeleo ya habari na mawasiliano. Ninashauri uwe unaweka na link ya map kwa ajili ya ku-google eneo liliyopo hiyo nyumba. Hii itasaidia kutoa taarifa kamilifu hasa kwa wale ambao wapo nje ya Dar es Salaam.
 
Nitampa google links mtu ambaye nimeonanaye ana kwa ana kwa sababu za kibiashara. Nilishawi kufanya hivyo jamaa akatumia GPS Coordinates kufika hapo unless otherwise niwe nimesaini na owner mkataba wa kupewa kamisheni hata akiuza yeye, hupo hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom