mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 850
Tatizo fedha mzee, hiyo yako unweza kuitangaza, nusu mwaka, haijapata mnunuzi, ile unauza tu yako, ukipiga simu kuulizia nyumba hii, unaambiwa umenunuliwa juzi.Sijui niuze yangu ninunue hii
ni hizi hapa chini kwenye picha sema nilipiga kwa ndani..zmeunganikana na ukutaHizo fremu mbona zipo ndani ya fensi
KWA hesabu hii mkuu...ukimpigia mwenye nyumba hawezi akaiuza labda awe mjinga....Kwa mtu anaetaka kuwekeza kwenye hii nyumba: (return ya nyumba kwa mwezi )
-kupangisha nyumba kubwa ni kama 500k kwa mwezi,nyumba ya pembeni ni 250k kwa mwezi,frem ziko nne kila moja 50k so inakua 200k kwa mwezi
-so ukinununua hii nyumba ukapangisha kwa mwezi unapata almost 1m ambayo ni kama 12 kwa mwaka..na kama mnavyojua tabata kuna uhitaji sana wa nyumba za kupanga
Changamkia nyumba hii hakuna longolongo ...bei ni 80m tu
hahaaaa au sioHii jumba kama haina gogoro basi takua na popobawa, alisikika mdosi mmoja akisema
KWA hesabu hii mkuu...ukimpigia mwenye nyumba hawezi akaiuza labda awe mjinga....
Sema hesabu haina maabara..
Aaah...okmwenye nyumba anahamia dodoma...anauza akajenge huko
Aaah...ok
Ila hzo ndo fursa asipotokea mteja...andaa business yako plan nzur kama ulivyochanganua apo juu,then unamshawishi mwenye nyumba akikubali unaenda chukua mkopo bank kwa business plan yako...
Huo mkopo unampa mwenye nyumba afu mnakubaliana kile mwez unampa laki 8 au 7 adi deni linaisha then mwsho wa sku unamiliki mjengo kimasihara tu..
Bank hawakupi mkopo bila hati, sasa kama hujailipia hati utaipataje?Aaah...ok
Ila hzo ndo fursa asipotokea mteja...andaa business yako plan nzur kama ulivyochanganua apo juu,then unamshawishi mwenye nyumba akikubali unaenda chukua mkopo bank kwa business plan yako...
Huo mkopo unampa mwenye nyumba afu mnakubaliana kile mwez unampa laki 8 au 7 adi deni linaisha then mwsho wa sku unamiliki mjengo kimasihara tu..
Kwanini inauzwa?
Bank hawakupi mkopo bila hati, sasa kama hujailipia hati utaipataje?
Hilo mbna jepesi kabsa mkuu...Bank hawakupi mkopo bila hati, sasa kama hujailipia hati utaipataje?