Nyumba inauzwa tabata kinyerezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa tabata kinyerezi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Aug 12, 2011.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ina vyumba vitatu vya kulala. Kiwanja kina Hati. Bei 170mil. Ukubwa wa kiwanja meta mraba 1100. Ukitaka kuiona fanya appointment piga simu 0717114409
   

  Attached Files:

 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!nyumba ni nzuri,nashukuru kwa taarifa!!
   
 3. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kweli mkuu, nyumba ni nzuri kimuonekano...shida BEI yake
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tunahitaji EWURA nyingine kwenye maswala ya bei za nyumba khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa siku si nyingi utasikia mtu anauza trilioni 3 nyumba yake
   
Loading...