nyumba inauzwa Tabata kinyerezi mil 20

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
5,800
11,333
Tabata kinyerezi unashuka gereji. Ipo karibu na barabara. Ina kisima maji yake cyo chumvi kali, ina vyumba 2 na sitting room, choo na bafu la ndani. Ni 21 kwa 10.5 sq m, iko kwenye rinta. Jamaa anayeiuza ana shida na hiyo pesa.
 
tabata kinyerezi unashuka gereji. Ipo karibu na barabara. Ina kisima maji yake cyo chumvi kali, ina vyumba 2 na sitting room, choo na bafu la ndani. Ni 21 kwa 10.5 sq m, iko kwenye rinta. Jamaa anayeiuza ana shida na hiyo pesa. If interested for more info email swazambi@yahoo.com au 0713522353

sasa hiyo ni nyumba au boma/pagara? Du mil.20?
 
Tatizo la kwanza ni hiyo description ya location: jaribu kutofautisha hizi kata mbili. Tabata na kinyerezi, siku hizi ukipita kila barabara ndani ya DSM hukosi kituo kinaitwa gereji, rejea jiografia yako vizuri.
 
Ukishasikia anakwambia ukubwa wa kiwanja ni 21 kwa 10 ina maana gari moja ikipaki hapo pameisha sasa hiyo nyumba au?!!
 
Tabata kinyerezi unashuka gereji. Ipo karibu na barabara. Ina kisima maji yake cyo chumvi kali, ina vyumba 2 na sitting room, choo na bafu la ndani. Ni 21 kwa 10.5 sq m, iko kwenye rinta. Jamaa anayeiuza ana shida na hiyo pesa. If interested for more info email swazambi@yahoo.com au 0713522353
Hii nayo unaita nyumba!? Au ni pagala! Halafu 21 kwa 10 sqm ni kiwanja kidogo kwa hiyo bei.
Ungeweka picha ya hilo pagala pia ingeweza kusaidia maamuzi ya watu humu.
 
Tabata kinyerezi unashuka gereji. Ipo karibu na barabara. Ina kisima maji yake cyo chumvi kali, ina vyumba 2 na sitting room, choo na bafu la ndani. Ni 21 kwa 10.5 sq m, iko kwenye rinta. Jamaa anayeiuza ana shida na hiyo pesa. If interested for more info email swazambi@yahoo.com au 0713522353

Sq m 21 kwa 10.5, hiyo siyo nyumba bali ni upande wa mabanda mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom