miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
ni frame mbili tu na kwa nyuma inaenda hadi wapi? ukubwa wa kiwanja?
Kaka Sqr Metre 300 ni sawa na 17m kwa 17m, mbona ni kiwanja kidogo sana?, maana utajenga nyumba ya size gani ili angalau uwe na parking?, japo hipo barabarani kwa size hiyo kweli unaweza kujenga nyumba ya Biashara ya Kisasa yenye parking ya kutosha?
ni frame mbili tu na kwa nyuma inaenda hadi wapi? ukubwa wa kiwanja?
Yaaan hiyo nyumba imepimwa na ina hati zote. Inatambulika mpaka Wizara ya Ardhi , Nyumba na Makazi.Ukubwa wake ni square mita mia tatu. Hapo kitu utakachofaidi sio hiyo nyumba, bali hicho kiwanja kipo eneo zuri sana la biashara. Ni vizuri ukinunua ujenge ghorofa kama wenzako hapo. Kwa maana ndo nyumba pekeee iliyobaki ya chini. Kwa maana imezungukwa na maghorofa kwa maana eneo linalipa kibiashara.
kwa kijumba hiki nitoe 400m. acha utani. Mimi nimenunua nyumba ipo mbezi beach Jogoo,kama unaenda Tegeta mkono wa kulia. bei 400m. Lakini siyo kibanda chako cha Legho Sinza. Ingekuwa hilo ghorofa hapo nyumba Tungeongea mkuu ,kwa hicho kibanda chako nimekupa hela nyingi ni 90m to 120M. coz nanunua uwanja tu hapo kaka hakuna nyumba hata hizo fremu hazipo Standard huwezi kumpangisha mtu hapo akalipa laki 300 kwa mwezi..
Hapo ni kujenga ghorofa tu kama walivyojenga wenzako.Ndo maaana hiyo nyumba imezungukwa na maghorofa
Kaka, hiyo bei na hicho kiwanja hakiendani kaka, kiwanja ni kidogo mno, maana hiyo sasa inakuwa ni kama Squatter? hata kama unajenga Ghorofa, kutakuwa hakuna upepo kabisa
anyway utafanya biashara tu kaka, kuna watu wanapenda kukaa Sinza (Mjini), hata akipata 10mx10m ni sawa tu
Biashara njema kaka,
kwa kijumba hiki nitoe 400m. acha utani. Mimi nimenunua nyumba ipo mbezi beach Jogoo,kama unaenda Tegeta mkono wa kulia. bei 400m. Lakini siyo kibanda chako cha Legho Sinza. Ingekuwa hilo ghorofa hapo nyumba Tungeongea mkuu ,kwa hicho kibanda chako nimekupa hela nyingi ni 90m to 120M. coz nanunua uwanja tu hapo kaka hakuna nyumba hata hizo fremu hazipo Standard huwezi kumpangisha mtu hapo akalipa laki 300 kwa mwezi..
Hapo pamekaa kibiashara zaidi, siyo kimakazi hivyo hauwezi kulinganisha na Jogoo! Tatizo kiwanja chenyewe ni kidogo sana sjuwi hata utajengaje, bei imezidi, kiwanja kingekuwa kinaeleweka sawa.