Nyumba inauzwa, Sinza Dar es salaam

Nyumba inauzwa, Sinza Dar es salaam

PHOTO

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
60
Reaction score
11
Nyumba inauzwa, Ipo Dar es salaam, maeneo ya Sinza, Barabara ya Shekilango, Block "B" mita sitini kutoka barabarani. Bado ipo katika hali nzuri na kuna fremu tatu za maduka, bei ni milioni 400 tu pesa ya Kitanzania.

Piga simu kwa mazungumzo ya kununua 0715528283..

attachment.php

Attachments

  • sinza.JPG
    sinza.JPG
    53.7 KB · Views: 1,032
[SUP]NYUMBA INAUZWA , IPO DAR ES SALAAAM, MAENEO YA SINZA , BARABARA YA SHEKILANGO, BLOCK “B” MITA SITINI KUTOKA BARABARANI, BADO IPO KATIKA HALI NZURI NA KUNA FREM TATU ZA MADUKA BEI NI MILIONI 400 TU PESA YA KITANZANIA.
Piga simu hii kwa mazungumzo ya kununua: [/SUP][SUP] 0715528283[/SUP]
View attachment 237950
 
Ni hilo ghorofa kwa nyuma au hiki kijumba hapa chenye maduka?Ni milioni 400 au umeongeza sifuri mbele?
Hajaongeza sifuri bali itakuwa ni sawa mkuu. JK kajenga uchumi hadi 400m ikawa pesa ya fremu tatu za maduka na 10m pesa ya mboga, nini tena unahitaji!?
 
Nyumba inauzwa, Ipo Dar es salaam, maeneo ya Sinza, Barabara ya Shekilango, Block "B" mita sitini kutoka barabarani. Bado ipo katika hali nzuri na kuna fremu tatu za maduka, bei ni milioni 400 tu pesa ya Kitanzania.

Piga simu kwa mazungumzo ya kununua 0715528283..

attachment.php

kwa kijumba hiki nitoe 400m. acha utani. Mimi nimenunua nyumba ipo mbezi beach Jogoo,kama unaenda Tegeta mkono wa kulia. bei 400m. Lakini siyo kibanda chako cha Legho Sinza. Ingekuwa hilo ghorofa hapo nyumba Tungeongea mkuu ,kwa hicho kibanda chako nimekupa hela nyingi ni 90m to 120M. coz nanunua uwanja tu hapo kaka hakuna nyumba hata hizo fremu hazipo Standard huwezi kumpangisha mtu hapo akalipa laki 300 kwa mwezi..
 
Mkuu ungesema Kiwanja kinauzwa na kina nyumba kama hiyo Ingekuwa vizuri Zaidi.
400m,kwa value ya nyumba nikiitathmini haraka haizidi 15m.
Maana hapo mtu ananunua kiwanja anapandisha dude kama wenzie.
Ni maoni yangu tu hayo mkuu,kwamba ungenadi kama kiwanja
 
Wewe mwenyewe si unaona mijengo iliyoizunguka hiyo nyumba. Yaaan panafaaa kwa biashara yoyote. Hiyo bei niliyokutajia si kwa ajili ya hiyo nyumba , la hasha hiyo bei ni kwa ajili ya hicho kiwacha kipo sehemu nzuri ya biashara. Karibu sana !!!
 
[SUP]NYUMBA INAUZWA , IPO DAR ES SALAAAM, MAENEO YA SINZA , BARABARA YA SHEKILANGO, BLOCK "B" MITA SITINI KUTOKA BARABARANI, BADO IPO KATIKA HALI NZURI NA KUNA FREM TATU ZA MADUKA BEI NI MILIONI 400 TU PESA YA KITANZANIA.
Piga simu hii kwa mazungumzo ya kununua: [/SUP][SUP]0715528283[/SUP]
View attachment 237950

Kina ukubwa gani hicho kiwanja, Kina hati?
 
Wewe mwenyewe si unaona mijengo iliyoizunguka hiyo nyumba. Yaaan panafaaa kwa biashara yoyote. Hiyo bei niliyokutajia si kwa ajili ya hiyo nyumba , la hasha hiyo bei ni kwa ajili ya hicho kiwacha !!!
Hiyo mijengo ya jirani ndo inakipa thamani hiko kiwanja na si nyumba iliyopo kwenye kiwanja husika
 
kwa kijumba hiki nitoe 400m. Acha utani. Mimi nimenunua nyumba ipo mbezi beach jogoo,kama unaenda tegeta mkono wa kulia. Bei 400m. Lakini siyo kibanda chako cha legho sinza. Ingekuwa hilo ghorofa hapo nyumba tungeongea mkuu ,kwa hicho kibanda chako nimekupa hela nyingi ni 90m to 120m. Coz nanunua uwanja tu hapo kaka hakuna nyumba hata hizo fremu hazipo standard huwezi kumpangisha mtu hapo akalipa laki 300 kwa mwezi..

yaan hiyo bei ulotajiwa si kwa ajili ya hiyo nyumba, la hasha. Hiyo ni bei ya uwanja . Yaaaan ipo kwenye sehemu nzuri ya biashara. Unaweza kufanya biashara yoyote na ikalipa. Hata kama unataka kujenga ghorofa kama ya wenzio hapo inalipa. Hiyo bei ulotajiwa ni kwa ajili ya uwanja upo sehemu nzuri , lakini hiyo nyumba si lazima uishi . Unaweza kuibomoa tu na ukajenga ghorofa kama wenzako.
 
Nyie mnaoponda hiko kijumba nadhan kuna kitu hamjakitendea haki,nachojua mimi nyumba ni kiwanja..muhitaji haswa akipataka hapo anavunja hiko kibanda anasimamisha ghorofa cha ku-doubt hapo labda ni umbali kutoka barabarani kama ipo barabarani basi sioni tatizo..K/koo watu wananunua nyumba za miti juzi tu hapa nyumba niliyokuwa nimepanga frame imetangazwa kuuzwa haijachukua hata wiki watu wametoa 1.2billion na imevunjwa imezungushiwa bati kusubiri ujenzi,kinachoangaliwa hasa nyumba ipo sehemu yenye biashara?
 
Kina ukubwa gani hicho kiwanja, Kina hati?

Yaaan hiyo nyumba imepimwa na ina hati zote. Inatambulika mpaka Wizara ya Ardhi , Nyumba na Makazi.Ukubwa wake ni square mita mia tatu. Hapo kitu utakachofaidi sio hiyo nyumba, bali hicho kiwanja kipo eneo zuri sana la biashara. Ni vizuri ukinunua ujenge ghorofa kama wenzako hapo. Kwa maana ndo nyumba pekeee iliyobaki ya chini. Kwa maana imezungukwa na maghorofa kwa maana eneo linalipa kibiashara.
 
Yaaan hapo mkuu nakuungu mkono 100% . Ya kwamba unaposikia nyumba inauzwa sio wamba bei iwe sawa na nyumba yenyewe. Bali hicho kiwanja kipo eneo la biashara ???? Mahala kiwanja kilipo ndo bei yake. Hata ukitumia macho yako tu utaona nyumba imezungukwa na maghorofa tupu,utasema hilo eneo halina biashara ????? Jamani hapo unauziwa kiwanja na sio nyumba. Lakini huwezi kusema kiwanja kwa sababu tayari kuna nyumba imejengwa. sinza.JPG
 
kwa kijumba hiki nitoe 400m. acha utani. Mimi nimenunua nyumba ipo mbezi beach Jogoo,kama unaenda Tegeta mkono wa kulia. bei 400m. Lakini siyo kibanda chako cha Legho Sinza. Ingekuwa hilo ghorofa hapo nyumba Tungeongea mkuu ,kwa hicho kibanda chako nimekupa hela nyingi ni 90m to 120M. coz nanunua uwanja tu hapo kaka hakuna nyumba hata hizo fremu hazipo Standard huwezi kumpangisha mtu hapo akalipa laki 300 kwa mwezi..

Wewe mwenyewe si unaona mijengo iliyoizunguka hiyo nyumba. Yaaan panafaaa kwa biashara yoyote. Hiyo bei niliyokutajia si kwa ajili ya hiyo nyumba , la hasha hiyo bei ni kwa ajili ya hicho kiwanja !!! Maelewano yapo lakini hiyo ni bei ya kuanzia tu
 
kwa kijumba hiki nitoe 400m. acha utani. Mimi nimenunua nyumba ipo mbezi beach Jogoo,kama unaenda Tegeta mkono wa kulia. bei 400m. Lakini siyo kibanda chako cha Legho Sinza. Ingekuwa hilo ghorofa hapo nyumba Tungeongea mkuu ,kwa hicho kibanda chako nimekupa hela nyingi ni 90m to 120M. coz nanunua uwanja tu hapo kaka hakuna nyumba hata hizo fremu hazipo Standard huwezi kumpangisha mtu hapo akalipa laki 300 kwa mwezi..

Ya kwamba unaposikia nyumba inauzwa sio wamba bei iwe sawa na nyumba yenyewe. Bali hicho kiwanja kipo eneo la biashara ???? Mahala kiwanja kilipo ndo bei yake. Hata ukitumia macho yako tu utaona nyumba imezungukwa na maghorofa tupu,utasema hilo eneo halina biashara ????? Jamani hapo unauziwa kiwanja na sio nyumba. Lakini huwezi kusema kiwanja kwa sababu tayari kuna nyumba imejengwa.
 
Ni hilo ghorofa kwa nyuma au hiki kijumba hapa chenye maduka?Ni milioni 400 au umeongeza sifuri mbele?

Ni hiyo nyumba yenye fremu (maduka). Ya kwamba unaposikia nyumba inauzwa sio kwamba bei iwe sawa na nyumba yenyewe. Bali hicho kiwanja kipo eneo la biashara ???? Mahala kiwanja kilipo ndo bei yake. Hata ukitumia macho yako tu utaona nyumba imezungukwa na maghorofa tupu,utasema hilo eneo halina biashara ????? Jamani hapo unauziwa kiwanja na sio nyumba. Lakini huwezi kusema kiwanja kwa sababu tayari kuna nyumba imejengwa.
 
Yaaan hiyo nyumba imepimwa na ina hati zote. Inatambulika mpaka Wizara ya Ardhi , Nyumba na Makazi.Ukubwa wake ni square mita mia tatu. Hapo kitu utakachofaidi sio hiyo nyumba, bali hicho kiwanja kipo eneo zuri sana la biashara. Ni vizuri ukinunua ujenge ghorofa kama wenzako hapo. Kwa maana ndo nyumba pekeee iliyobaki ya chini. Kwa maana imezungukwa na maghorofa kwa maana eneo linalipa kibiashara.

Kaka Sqr Metre 300 ni sawa na 17m kwa 17m, mbona ni kiwanja kidogo sana?, maana utajenga nyumba ya size gani ili angalau uwe na parking?, japo hipo barabarani kwa size hiyo kweli unaweza kujenga nyumba ya Biashara ya Kisasa yenye parking ya kutosha?
 
Ni hiyo nyumba yenye fremu (maduka). Ya kwamba unaposikia nyumba inauzwa sio kwamba bei iwe sawa na nyumba yenyewe. Bali hicho kiwanja kipo eneo la biashara ???? Mahala kiwanja kilipo ndo bei yake. Hata ukitumia macho yako tu utaona nyumba imezungukwa na maghorofa tupu,utasema hilo eneo halina biashara ????? Jamani hapo unauziwa kiwanja na sio nyumba. Lakini huwezi kusema kiwanja kwa sababu tayari kuna nyumba imejengwa.

Hizo 400 Milion Tsh utaweka biashara gani kwa ka kiwanja kadogo kama hako ili fedha zirudi? Kuweni serious na bei jamani! It is too a small area to contemplate at 400,000,000 Tsh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom