Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,139
- 366
Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa ''self contained''..vyumba vyote vina urefu wa mita nne na upana mita tatu, pia kuna kuna chumba cha kulia, sebure kubwa. Vyumba viwili vya kulala vina madirisha mawili mawili kila kimoja na masta ina madirisha matatu kwa hivyo mwanga na hewa vinapitishwa kirahisi. Nyumba inauzwa shiling 70mil. Ukihitaji kuiona tuwasiliane kupitia namba hii 0784225000. Kwa ajili ya mali nyingine tembelea tovuti ifuatayo..www.kitomai.com