Nyumba inauzwa Quick money is required.

cyruss

Senior Member
Jan 13, 2012
196
40
Nyumba ina kiwanja kikubwa cha kuongezea nyumba nyingine hata 3 inauzwa tabata, pesa ina hitajika haraka, milioni 187, tuwasiliane 0714981009 tufanye biashara hati ipo ukisharidhia unaweza kwedna kuhakiki, nipigie, karibuni.
 
Yaani milioni 187 ndo unawaharakisha watu hivo na unasema eti kwiki money, mie nilidhani labda milioni hata 5. Hiyo ya milioni 187 ndugu yangu usiseme eti inauzwa haraka sema tu nyumba ipo sokoni inatosha na wala sio ya kwiki money
 
Sijakuelewa, bei milioni 187 au umekosea hizo namba??
Nyumba ina kiwanja kikubwa cha kuongezea nyumba nyingine hata 3 inauzwa tabata, pesa ina hitajika haraka, milioni 187, tuwasiliane 0714981009 tufanye biashara hati ipo ukisharidhia unaweza kwedna kuhakiki, nipigie, karibuni.
 
Nyumba ina kiwanja kikubwa cha kuongezea nyumba nyingine hata 3 inauzwa tabata, pesa ina hitajika haraka, milioni 187, tuwasiliane 0714981009 tufanye biashara hati ipo ukisharidhia unaweza kwedna kuhakiki, nipigie, karibuni.

Tatizo la tanzania bei za nyumba sio realistic,madalali ndio wanaopanga na baada ya mda wenye mali wanapata trend,kwahiyo nyumba haziuzwi kwa thamani halisi bali za waropokaji
 
Nyumba hujaiona halafu "Mil 180? Serious??" acha kutudanganya bhana!

Mi sisemi sana coz kiwanja unaweza kutoa nyumba nyingne 2 hata 3, so bei ni suitable, af pia kwanini ushangae kitu ambacho hujakiona, njoo ucheki location ndo useme mawazo yako sio from no where mtu unaanza kubwatuka! dah!
 
unajua bila kuweka details za kutosha ndo watu kusema hivyo...Weka picha labda nyumba ina vigae, tiles, garden etc.....fanya watu washawishike kutoa hizo hela. Sasa unataja hizo million ngapi cjui halafu hamna any evidence kama nyumba yenyewe ipo....GET REAL!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom