Uko dar uku bado viwanja vya milioni moja viko teleKwa mtu aliyejenga nyumba ananielewa. ...kiwanja tu inaweza kuwa 10m
Uko dar uku bado viwanja vya milioni moja viko teleKwa mtu aliyejenga nyumba ananielewa. ...kiwanja tu inaweza kuwa 10m
Siwezi hafiki maeneo hayo unaweza kupata kiwanja chini ya mil 5.hiyo bei hiko chini sana nina wasiwasi sana na hiyo nyumba..inaweza kuwa kwenye migogoro..Uko dar uku bado viwanja vya milioni moja viko tele
Hizi ni picha tu tatizo kubwa hapa eneo lake ni Dogo na pia finishing yake bado haijamalizika hakuna umeme wala maji bado kuna sehemu kubwa sana ya kumalizia angalau ungeiona ndio ungejua ukweli.kuhusu mgogoro hakuna kabisaNdio maana nikasema bei inashtua. .. kama ushajenga nyumba 35m haitoshi kujenga hiyo nyumba plus kiwanja. ..
Usifikir ukitaja bei ndogo Ndio unavutia wateja kumbe Ndio unatupa mashaka.
Biashara ya nyumba sio ya siku moja lazima uchukue siku ili uweze kuhakiki uhalali wa eneo,hapa utafanya uchunguzi ukiridhika tunafanya biashara..nakuhakikishia hakuna mgogoro wowoteSiwezi hafiki maeneo hayo unaweza kupata kiwanja chini ya mil 5.hiyo bei hiko chini sana nina wasiwasi sana na hiyo nyumba..inaweza kuwa kwenye migogoro..
Vipi hii bado ipo mkuu?Duh kweli hali ya sasa sio mchezo,bei nimeshusha mpaka milion 30 lakini bado mnataka nishushe zaidi kwa nyunba nzuri kiasi hiki,tafadhalini jamani hebu fikirieni kwa kina jamani
Nitafutie kimojaUko dar uku bado viwanja vya milioni moja viko tele