Nyumba inauzwa ipo MWANDEGE km 5 kutokea mbagala rangi 3, maeneo ya shule ya msingi mita 250 kutoka Barabara ya kilwa ina vyumba 3 ikiwemo master 1 na sting room, dining jiko na vyoo vote viko ndani imepigwa rangi nzuri ndani na nje ndani ina gypsum, ina umeme na maji yapo ina fensi inauzwa 55m Dalali haihitajiki maongezi yapo