Nyumba inauzwa mwanamtoti kata ya kijichi

Nyumba inauzwa mwanamtoti kata ya kijichi

Keza76

Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
46
Reaction score
16
Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa iko mwanamtoti kata ya kijichi ili ufike kwa urahisi unashukia kituo cha mission Mbagala,INA vyumba vitano,master moja,INA sebule,jiko dining,bafu na choo ndani, ina gypsum,vioo madirisha yote,INA tiles, fence na geti, bei 75m inatizama Barbara ya mtaa ambayo inawekwa lami HV karibuni 0718252251 au 0769648110

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20170912-WA0078.jpg
IMG-20170912-WA0071.jpg
IMG-20170912-WA0068.jpg
IMG-20170912-WA0061.jpg
IMG-20170912-WA0062.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba nzuri,ila matunzo sifuri.
Halafu fupi.
Then lami hapo inaitaje mkuu,halafu naona beacon katikati,asije kulia mtu hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom