Hii nyumba ni ile uliyotutangazia ina frem sita inatazama barabaran kwa 180m? Mana naona number ya mawasiliano ni ileile ila hapa naona bei ni 23m, kama hautojal naomba ufafanuz au ni nyumba mbil tofaut ila mmiliki ni mmoja? Au wamiliki ni watu tofauti ila muuzaj(dalali) ni mmoja ambaye ndo kaweka mawasiliano yake hapa! Thanks in advance
Nyumba inauzwa maeneo ya Moshibar Ukonga, ukubwa wa eneo ni mita za mraba 187 thamani ya kiwanja kama hakuna jengo ni 14m, nyumba ina vyumba vitano ya kulala na seble kubwa. bei 23m muuzaji ana shida. kwa mawasiliano piga 0773 944 944.