Nyumba inauzwa Morogoro

swank

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
748
1,041
Ni nyumba kubwa ya vyumba 11 na frame nje

Ukubwa wa kiwanja ni 25 kwa 23

Umeme na maji masaa 24

Nyumba ipo maeneo ya Chamwino

Bei ni shilingi 20,000,000

Karibuni
tapatalk_1524332801809.jpeg
 
jombaa kwa nyumba hiyo, na ukubwa wa kiwanja na eneo ilipo, kwa watoto wa mbwa - chamwino. Sawa, ngoja nisiweke bei yangu kwanza
 
jombaa kwa nyumba hiyo, na ukubwa wa kiwanja na eneo ilipo, kwa watoto wa mbwa - chamwino. Sawa, ngoja nisiweke bei yangu kwanza
Ndo hivyo mkuu nitafutie wateja basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom