Nyumba inauzwa Morogoro

Nyumba inauzwa Morogoro

Hahahahahahahahaaa looh nimeishia kucheka tuu. Ngoja nikaanzishe uzi kabla sijalala maana akili za Kasie anazijua Kasie mwenyewe hata mie sielewagi saa ingine eehehehehehehehehheheheeeee

# HHM

Kasie Mambo Yote.
Ukishaanzisha naomba unitagg
 
Sanaaa tena huwa najistukia nshabadili lugha hata sielewi imebadilikaje hehehehehhee.
Sasa bila kujua kiingereza sijui ungekua unaandika kilugha chenu

Hahahahaaa kiinglish kingekuja tuu, hujawahi ona mtu hajawahi kwenda shule na wala hajui kusoma, ila akilewa anaongea English mwanzo mwisho?
 
Hahaaha mi sitaki jamani kwamba pombe inabadilisha maneno toka kiswahili kwenda kiingereza?
 
Kweli tena, mie nilishashuhudia kwa macho yangu, au wewe jifanyie majaribio, weka tape recoda kunywa halafu uone utaanza kuongea maneno yepi hehehehehee.
 
Haahahhaa sinywagi pombe, ila kwakuwa nataka ushahidi nitajaribu! Then nitakupa mrejesho
 
Naona mmeanza soga hapa, tangazo LA nyumba kapuni
 
Mtoa mada kama ni mdada njoo PM tuyajenge kwa maana huko chamwino nasikiaga kuna mademu wa bei rahisi anatiwa hata kwa jelo.....njoo mpenzi!
 
Avatar yako tuu inaonyesha vyuma vimekaza kwako
385279.jpg
 
Hahahahaaa kiinglish kingekuja tuu, hujawahi ona mtu hajawahi kwenda shule na wala hajui kusoma, ila akilewa anaongea English mwanzo mwisho?
Mamaa inategemea pombe gani? Akinywa Mbege ya Marangu ataongea kichaga tu...
 
Ukubwa wa kiwanja!!?
Ungepiga na ndan tupate kuona vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom