Nyumba inauzwa Morogoro(Kiegea)

Nyumba inauzwa Morogoro(Kiegea)

totopack

Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
52
Reaction score
10
Ni nyumba ya kuishi yenye vyumba vitatu vyote self,Sitting na Dinning,jiko na stoo,haijaisha ila kuna familia inaishi,eneo umeme bado ila inasemekana kuna mradi october,maji yapo karibu sana,imejengwa katika viwanja vilivyopimwa na manispaa.Ni ya kwangu nimeshindwa kuiendeleza,nicheki 0718450578 kwa wanaohitaji,picha zinagoma kuupload,whatsap utazipata picha nyingi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom