master eagle
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 342
- 88
Habari wana jf.kuna nyumba inauzwa ipo morogoro maeneo ya bima kama nusu kilometa kutoka msamvu inavyumba vinne ambapo kimoja ni master bedroom.kiwanja chake ni low density kwaiyo ina eneo kubwa sana.pia ina public toilet na bafu na imewekwa tiles.sababu ya kuiuza ni kutaka kumalizia ujenzi wa nyumba nyingine;kwa serious buyers waweza ni pm au tuwasiliane kwa namba 0719482070 ili tuongee bei na kujadiliana zaidi.