Nyumba inauzwa millioni miambili tu

Nyumba inauzwa millioni miambili tu

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
116
wakuu ---- nyumba inauzwa milioni miambili ipo dar salaam, wilaya ya kinondon, kata ya kawe,mtaa wa ukwamani. ina vyumba sita, ina vyumba vya uwani vinne, ina fremu moja ya biashara, ipo katika hari nzur sana. ni mita 500 kutoka barabarani. gari linafika mpaka mlangoni. wadau tuchangamkie hili dili kwani 5% ni ya sis madalali. kwa maelezo zaid ni pm ili nikupe mawasiliano yangu. natafuta kamera ili niwaletee picha.
 

Attachments

  • IMG00180.jpg
    IMG00180.jpg
    8.8 KB · Views: 137
Elezea iko kwenye kiwanja cha ukubwa gani, ina uzio au, hati za umiliki ni safi na je zimelipiwa, haina migogoro(imekopewa bank, nk) n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom