Plot Agent
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 311
- 20
Weka picha na maelezo zaidi basi,Nyumba ya kisasa ya vyumba3 ambayo bado haijamaliziwa inauzwa Maeneo ya kunguru/goba. Bei milioni 30.
Wasiliana: 0752953860
Weka picha na maelezo zaidi basi,
Mfano Ukubwa wa Kiwanja,
Kimepimwa au bado,
Umeme umefika maeneo hayo,
Maji,
Umbali from Barabara Kuu,,
Idadi ya Vyumba,
n.k.
Nyumba ya kisasa ya vyumba3 ambayo bado haijamaliziwa inauzwa Maeneo ya kunguru/goba. Bei milioni 30.
Wasiliana: 0752953860
Ili land scape ya eneo husika lipate kuonekana na kama ni muinuko au tambarare.Mbona picha umeipigia mbali tena kwa kuibia?
Au mwenye nyumba hajui?