kimyakya mbwele
Senior Member
- Oct 15, 2007
- 134
- 261
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa mikocheni B karibu na kanisa la Assemblies of God. mawasiliano piga simu namba 0755 092 734 au whatsapp 0754 810 853 bei maelewano
hiyo mitaa kuja viwanda zipo duni zaid ya hiyoHeee!! Kumbe bado mikocheni b kuna nyumba za aina hii?!! Hapo sema unauza kiwanja mkuu. Kwani baada ya muda unaweza ambiwa hiyo nyumba ni hatarishi kwa usalama wa majirani zako!!!