Means gari haifiki kwa nyumba.Kutoka barabarani kuna mstari wa kwanza wa nyumba
Hii ipo mstari wa PILI wa nyumba kutoka barabarani
Angalia picha ya tatu na nne kutoka chini/mwisho halafu utoe maamuziMafuriko vipeee mvua ikinyesha
Mkuu hizo picha zimepigwa siku kuna mvua na ardhi unaiona mbichi.Angalia picha ya tatu na nne kutoka chini/mwisho halafu utoe maamuzi
Watu mna macho makali[emoji2] [emoji1] [emoji3]Futa kwanza hayo maandishi ya "mudi brack"