albertt
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 339
- 78
Nyumba inauzwa ipo Malamba njia panda ya kinyerezi To mbezi ipo karibu na shule ya msingi malamba ina vyumba 3 vya kulala kimoja kikiwa nimaster ,ina sebule,jiko,store,vibalaza viwili,public toilet safi,na choo cha nje safi,ina umeme tayar,ina mita 20 kwa 25 price ni 70 mil kama upo serious nichek 0716385824