Nyumba inauzwa Makabe

DalaliMsomi

Member
Feb 8, 2019
85
114
JUMBA LA KIFAHARI LENYE NAKSHI ZA KISASA LINAUZWA..

MUUNDO WAKE
Ni nyumba ya vyumba vinne(vyote ni master)
Pia ina;
-dinning
-sitting
-jiko kubwa lenye makabati
-public toilet
-store
-parking kubwa mnoo ya gari zaidi ya 10

Pia ina ground floor yenye chumba,sebule na choo
Vile vile ina servant quota yenye chumba,sebule na choo.

HUDUMA ZA KIJAMII
-Maji ya dawasco
Pia ina tanki nne za kuhifadhia maji
-umeme wa tanesco

UKITAKA SWIMMING POOL UNAJENGEWA

NYARAKA ZAKE
eneo limepimwa lina sqm 2800 na hati miliki

ENEO NYUMBA ILIPO
Mbezi makabe (kwa mtei)
Pembezoni mwa barabara

UMBALI
Mita 2 kutoka barabara ya kwenda msumi

BEI
Tsh milion 500(mazungumzo yapo)
Njoo na ofa yako utasikilizwa
Kuona nyumba ni bure kabisa

ZINGATIA
imetengenezwa kwa material origino kutoka italia na uhispania
Ni nyumba imara sanaa.

MAWASILIANO
Simu&whatsapp;0673540985
Simu&whatsapp;0765532858
Inu
IMG_20190410_185303_500.jpeg
IMG-20190410-WA0005.jpeg
IMG-20190410-WA0014.jpeg
IMG_20190410_185303_505.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom