wenye helaa hiyo ni kiwanjaaa tu tena mtu anapigaaa yote chini....anaoteshaaaa uyoga wa maana (gorofa)...kariakoo vijumbaaa vilikuaaa hadi 800 milion..tena mtu ananunua ana vnjaaa ana jenga gorofa..Inauzwa nyumba ama kiwanja? Hivi kweli zile nyumba zinafika thamani ya hiyo pesa?